Mwanamume anayewapaka wanawake hina Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamume anayewapaka wanawake hina Tanzania

Urembo wa kupaka Hina si utamauduni mpya katika maeneo mengi barani Afrika haswa pwani, kwa muda mrefu wachoraji wa mapambo ya Hina wamekuwa wanawake, lakini hivi sasa hali ni tofauti ambapo wanaume nao wamejitosa katika kazi hiyo.

Nchini Tanzania kijana Ramadhani maarufu kama Royal Henna amejizolea umaarufu mkubwa katika mitandao ya kijamii kwa umahiri wake katika uchoraji wa Hina kwa wanawake.

Munira Hussein na maelezo zaidi

Mada zinazohusiana