Umekumbana na shida kupata maji safi Tanzania?

Upatikanaji wa maji safi na salama ni muhimu sana katika maisha ya binadamu.

Je, umekumbana na kisa gani kisicho cha kawaida katika heka na heka za kupata maji safi na salama?