Prof Michael Wainaina: Msomi anayetaka kuwa rais wa Kenya

Prof Michael Wainaina: Msomi anayetaka kuwa rais wa Kenya

Profesa Michael Wainaina alikuwa msomi lakini akastaafu mwaka 2013.

Anasema lengo lake kuu ni kuwawezesha vijana na kina mama kwani anaamini ndio pekee wenye uwezo wa kufanikisha mageuzi Kenya.

Prof Wainaina anaamini ndipo uweze kuangamiza Malaria, sharti uangamize mbu kwanza na katika kukabiliana na rusha anaamini hiyo ndiyo siri.