Kwa nini Ekuru Aukot anataka kuwa rais Kenya?
Huwezi kusikiliza tena

Kwa nini Ekuru Aukot anataka kuwa rais Kenya?

Dkt Ekuru Aukot ni miongoni mwa wagombea wanane katika kinyang’anyiro cha urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumanne wiki ijayo.

Japokuwa wengi hawamfahamu kwa kina ni nani, anasema kuwa Kenya inahitaji mabadiliko ili kuweza kujinasua kutoka kwa shida zinazowakabili Wakenya.

Anaamini kwamba yeye ndiye suluhu. Je, ni kwa nini anajiona kama ngamia?

Mada zinazohusiana