Wakenya wanamtaka nani awe rais uchaguzi mkuu 2017?

Wakenya wanamtaka nani awe rais uchaguzi mkuu 2017?

Agosti nane Wakenya watawachagua viongozi wao, na masuala wanayotaka yashughulikiwe ni mengi.

Haya ni baadhi tu ya yale wangependa yapewe kipaumbele na rais, wabunge, magavana na viongozi wengine.

Wengi wanaonekana kutaka elimu bora, kazi na muhimu zaidi kudumishwa kwa Amani.

Je, wewe ni Mkenya? Ungetaka kiongozi atakayechaguliwa aangazie nini? Tuandikie kwenye Facebook, Instagram na Twitter ukitumia #UchaguziKE2017.