Farasi na punda katika uchaguzi wa urais Kenya

Farasi na punda katika uchaguzi wa urais Kenya

Katika uchaguzi wa urais Kenya utakaofanyika tarehe 8 Agosti, baadhi ya wachanganuzi wamesema ushindani mkali ni kati ya farasi wawili.

Wagombea wengine wanahisi vipi?

Kunao wanaojitazama kama punda, mwingine mbuni na mwingine kama ngamia.