Joe Nyagah: Mimi ni mgombea asiye mfungwa uchaguzini Kenya
Joe Nyagah: Mimi ni mgombea asiye mfungwa uchaguzini Kenya
Joseph Nthiga Nyagah ni mwanasiasa wa muda mrefu nchini Kenya ambaye amewahi kuhudumu katika baraza la mawaziri.
Anaamini kwamba ana uzoefu zaidi na ndiye anayefaa zaidi kuongoza Kenya.