Habari za Global Newsbeat 1100 03/08/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1100 03/08/2017

Nemanja Matic amecheza mechi yake ya kwanza na Manchester United ikiichapa Sampdoria mjini Dublin katika mechi ya kirafiki kabla ya msimu mpya kuanza. Wiki iliyopita Matic alijiunga na Man United akitokea Chelsea kwa paundi milioni 40.