Mambo muhimu kuhusu uchaguzi wa urais Kenya 2017

Mambo muhimu kuhusu uchaguzi wa urais Kenya 2017

Wakenya waliojiandikisha kupiga kura watapiga kura tarehe nane Agosti kumchagua rais, magavana na wawakilishi wengine kote nchini humo.

Uhuru Kenyatta ndiye rais wa sasa na anasema ameleta maendeleo kupitia miradi mikubwa ya miundombinu, ikiwemo reli ya kisasa na barabara nyingi.

Lakini mpinzani wake mkuu Raila Odinga anasema miradi hii mikubwa si ya busara na imefilisisha nchi.

Tazama video hii kufahamu mambo mengi muhimu kuhusu uchaguzi huo.