Habari za Global Newsbeat 1000 04/08/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 04/08/2017

Utafiti umebaini kwamba wanaume wanaotazama filamu za ngono wakiwa na umri mdogo wana uwezekano mkubwa wa kuwa na ubaguzi wa kijinsia na kasumba za kiume.

Aidha wana uwezekano mkubwa pia wa kuwa wadanganyifu katika ndoa. Utafiti huo ulifanyika katika chuo kikuu cha Nebraska.