Jalamo: Msanii aliyevuma kwa wimbo wa upinzani Kenya wa Tibim

Jalamo: Msanii aliyevuma kwa wimbo wa upinzani Kenya wa Tibim

Mwanamuziki wa Kenya Onyi Jalamo amekuwa mshindi mkubwa katika uchaguzi wa Kenya mwaka huu kutokana na wimbo wake wa kisiasa ‘Tibim’ ambao umempa umaarufu mkubwa hususan miongoni mwa wafuasi wa upinzani.

Maana ya Tibim ni nini?

Amezungumza na BBC kuhusu wimbo huo na umaarufu wake.