Uchaguzi 2017: Muziki unavyotumiwa kuongeza nakshi siasa Kenya

Uchaguzi 2017: Muziki unavyotumiwa kuongeza nakshi siasa Kenya

Muziki umekuwa ukitumiwa kama kiungo muhimu katika kampeni za uchaguzi nchini Kenya.

Baadhi wamtumia video hizo kuongeza nakshi na mbwembwe katika kampeni zao za siasa, na wengine wanautumia kuwapiga vijembe wapinzani wao.

Mwandishi wa BBC Zuhura Yunus yuko Nairobi na alituandalia taarifa hii.