Waziri Matiang'i awahakikishia Wakenya usalama siku ya uchaguzi
Waziri Matiang'i awahakikishia Wakenya usalama siku ya uchaguzi
Kaimu waziri wa usalama wa ndani Dkt Fred Matiangi amesema Wakenya hawapaswi kuwa na wasiwasi wakati wanapoelekea kuwachagua viongozi wapya.
Amezungumza na mwandishi wetu Dayo Yusuf.