Habari za Global Newsbeat 1000 07/08/2017

Habari za Global Newsbeat 1000 07/08/2017

Mwanariadha maarufu aliyewahi kutamba nchini Australia na kote duniani hususan miaka ya 1950-60 Betty Cuthbert amefariki akiwa na miaka 79.Akiwa na miaka 18 Betty aliweka historia mjini Melbourne kwa kushinda medali tatu za dhahabu katika mbio za mita 100,200 na 400.