Habari za Global Newsbeat 1500 07/08/2017

Habari za Global Newsbeat 1500 07/08/2017

Wacheza filamu wa Marekani Chris Pratt na Anna Faris wametangaza kuwa watatengana baada ya miaka minane ya ndoa, kwa mujibu wa taarifa ya pamoja iliyosambazwa kwenye mitandao.Wawili hao wamesema kuwa jitihada za kuokoa ndoa yao zimegonga mwamba.

Je, kwa nini ndoa nyingi huvinjika baada ya miaka kadhaa?

Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com