Umuhimu wa uchaguzi Kenya kwa wakazi Afrika Mashariki
Huwezi kusikiliza tena

Umuhimu wa uchaguzi Kenya kwa wakazi Afrika Mashariki

Bila shaka, uchaguzi wa Kenya Agosti 8, ni muhimu sana kwa wana-Afrika Mashariki. Almuradi utakuwa wa haki na huru, wangalizi nje ya Kenya wanahisi, penye amani, usalama na biashara vitaendelea kukua eneo zima.

Mwandishi wetu Ali Mutasa anaangazia hili.