Kijana avuna watu wakipiga kura Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Kijana avuna watu wakipiga kura Kenya

Wakati watu wakiwa kwenye foleni wakisubiri kupiga kura jijini Nairobi, Kenya kibaridi kikali kimetoa fursa ya kibiashara kwa mchuuza kahawa huyu.

Ameamua biashara kwanza kabla yake kwenda kupiga kura.

Mada zinazohusiana