Mwanamume aliyejaribu kuvuka mlango ya bahari wa Uingereza afariki

English Channel
Image caption Walinzi wa pwani walipokea ujumbe kutoka na chombo kimoja kuwa mtu huyo alikuwa hatarini.

Mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka 40 ambaye alijaribu kupiga mbizi katika mlango wa bahari ya Uingereza amefariki,.

Walinzi wa pwani walipokea ujumbe kutoka na chombo kimoja kuwa mtu huyo alikuwa hatarini.

Haki miliki ya picha Coastguard
Image caption Walinzi wa pwani walipokea ujumbe kutoka na chombo kimoja kuwa mtu huyo alikuwa hatarini.

Helkopta ya kutafuta iliyokuwa ikifanya mazoezi eneo lilitumwa na kuwasili baada ya dakika 10 wakamundoa na kumpeleka hospistalini ambapo alifariki baadaye.

Mpiga mbizi huyo alikuwa amefika katikati ya eno hilo alilokuwa akivuka wakati alikumbwa na matatizo ya kiafya, ripoti zilisema.

Mada zinazohusiana