Suti ya vipande sita na uchaguzi nchini Kenya

Nchini Kenya, utawasikia wanasiasa wakizungumzia upigaji kura kwa vipande sita vya suti.

Wanaposema hivyo, wanamaanisha nini?

Mwandishi wa BBC Salim Kikeke anakufafanulia.