Habari za Global Newsbeat 1000 10/08/2017

Habari za Global Newsbeat 1000 10/08/2017

Wanawake nchini India wamekuwa wakituma picha zao katika mitandao ya kijamii wakionekana wakiwa katika maeneo ya buruduani nyakati za usiku. Lengo za picha hizo ilikuwa ni kumjibu mwanasiasa aliyesema wanawake hawastahili kuburudika wakati huo.

Je, wanawake hawastahili kutembea majira ya usiku?

Tuwasiliane kwenye facebook bbcsahili.com