Habari za Global Newsbeat 1500 14/08/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 14/08/2017

Pendekezo la kuwashtaki Mapadre wasiotoa ripoti kwa polisi kuhusu wenzao wanaokiri kuwanyanyasa watoto kingono latolewa Australia! Unakubaliana na pendekezo hilo? sema nasi.