Habari za Global Newsbeat 1500 18/08/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 18/08/2017

Rais wa Rwanda Paul Kagame ameapishwa leo kuongoza nchi hiyo kwa muhula wa tatu wa miaka 7. Hii ni baada ya kushinda uchaguzi wiki mbili zilizopita kwa kupata asilimia 98 ya kura zote zilizopigwa kote nchini humo.