Msichana mchuuzi wa mikate aliyegeuka na kuwa mwanamitindo maarufu nchini Nigeria

Msichana mchuuzi wa mikate aliyegeuka na kuwa mwanamitindo maarufu nchini Nigeria

Ni kwa njia ipi msichana ambaye alikuwa ni mchuuzi wa mikate katika barabara za mji wa Lagos nchini Nigeria, aliinuka na kijizolea umarufu wa kitaifa na kufanikiwa kuwa mwanamitindo? Hi ndiyo hadithi kamili ya maisha ya Cinderella ambaye jina lake kamili ni Olajumoke.