Habari za Global Newsbeat 1000 21/ 08/ 2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 21/ 08/ 2017

Mcheshi maarufu nchini Marekani Jerry Lewis amefariki huko Las Vegas akiwa na miaka tisini na moja , alipata umarufu mwaka 1940 kwa kuigiza kipindi cha 'Straight man' cha Dean martin.

Mbali na hivyo Lewis pia alikuwa muibaji na muelekezi filamu.