Habari za Global Newsbeat 1500 21/08/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 21/08/2017

Wataalamu wakuu wa roboti wanataka kupigwa marufuku kutengenezwa roboti za mauaji, kuzuia kile wanachokitaja kuwa mapinduzi ya tatu katika vita.

Je, utengenezaji wa roboti kama hizo zinastahili kukomeshwa?

Tujadiliane kwenye Facebook bbcswahili.com