People watch a total solar eclipse
Huwezi kusikiliza tena

Jua lilivyopatwa na mwezi Marekani

Mamilioni ya watu Marekani leo wameshuhudia tukio la aina yake - kupatwa kwa jua. Mara ya mwisho jua kupatwa nchini humo sawa na sasa ilikuwa mwaka 1918.

Mwezi ulipokuwa unapitia mbele ya Jua, kulitokea kivuli kilichosababisha giza katika ukanda wa kilomita 113 kuanzia magharibi kwenye bahari ya Pasifiki hadi mashariki kwenye bahari ya Atlantiki.

Kulikuwa na kivuli cha kando katika maeneo mengi yaliyo karibu.

Chanzo: Reuters Live/NASA TV

Mada zinazohusiana