Mlipuko watokea eneo lenye balozi Kabul,Afghanistan

Hakuna aliyethibitisha kuhusika na tukio hilo
Image caption Hakuna aliyethibitisha kuhusika na tukio hilo

Polisi nchini Afghanistan imesema kumetoa mlipuko mkubwa katika eneo lenye balozi nyingi kwenye mji wa Kabul.

Mlipuko huo ulitokea katika uwanja wa mpira.

Bado hapajatolewa taarifa juu ya madhara yaliyosababishwa na mlipuko huo.

Ulitokea saa chache kabla ya Rais Trump kutoa hotuba maalum kuhusu taifa hilo.