Je wamkumbuka Hassan Muhelela aliyekuwa katika Dira ya Dunia TV?
Huwezi kusikiliza tena

Je wamkumbuka Hassan Muhelela aliyekuwa katika Dira ya Dunia TV?

Hassan Mhelela ni mmoja wa waasisi wa DIRA YA DUNIA TV na sasa hivi amehamia kwengine huko jijini Dar es Salaam, Tanzania akiwa bado katika fani ya uandishi wa habari. Katika makala maalum ya kuadhimisha miaka mitano ya Dira ya Dunia TV, Hassan anakumbuka.