Habari za Global Newsbeat 1000 23/08/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 23/08/2017

Barcelona imesema inamshtaki aliyekuwa mshambuliaji wake Neymar kwa kitita cha £7.8m kufuatia uhamisho wake katika klabu ya PSG nchini Ufaransa.Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Brazil alivunja rekodi ya uhamisho kwa kitita cha £200m kwa timu hiyo ya Ufaransa mnamo mwezi Agosti baada ya kununua kandarasi yake katika klabu ya Barcelona .