Habari za Global Newsbeat 1500 23/08/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 23/08/2017

Hii leo pembe za faru zitaanza kuuzwa kwenye mnada nchini Afrika kusini.Uamuzi huo umetolewa na mahakama ya kikatiba ya nchini humo, baada ya mfugaji mmoja binafsi wa faru kuiomba mahakama imkubalie kuuza pembe za wanyama hao.

Je, wajua thamani ya pembe za faru?

Tujadiliane kwenye facebook bbcswahili