Charles Hilary akumbuka maisha katika Dira ya Dunia TV

Charles Hilary akumbuka maisha katika Dira ya Dunia TV

Charles Hilary alikuwa mtangazaji wa kwanza kabisa wa michezo katika Dira ya Dunia TV, lakini amehama kwa sasa na kurudi nyumbani Tanzania, anakumbuka mengi alipokuwa London.