Habari za Global Newsbeat 1000 24/08/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 24/08/2017

#MayweatherVsMcGregor Mshindi atapata mshipi maalum uliotengenezwa kwa ngozi ya mamba ('The Money Belt') umepambwa kwa vipande 3,360 vya almasi, 600 vya Johari, 300 vya zumaridi, na kilo 1.5 ya dhahabu.