Habari za Global Newsbeat 1000 25/08/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 25/08/2017

#MayweatherVsMcGregor Pambano litafanyika Jumamosi,26, Agosti mjini Las Vegas Marekani. Mashabiki wa ndondi Afrika Mashariki watapata pambano hilo moja kwa moja usiku wa manane. Ni nani atakayeibuka mshindi?