Subira Mwikwabi: Wanaume wengi ni kikwazo kwa wasanii wa kike
Huwezi kusikiliza tena

Subira Mwikwabi: Wanaume wengi ni kikwazo kwa wasanii wa kike

Ni vigumu kuingia na kutamba katika Tasnia ya muziki nchini Tanzania, lakini inadaiwa kuwa ni vigumu zaidi kwa wanamuziki wanawake hususani wasichana.

Subira Mwikwabi ambaye ameanza kutamba miaka ya hivi karibuni, ijapokuwa amesumbuka kwa miaka mingi kujaribu kurekodi kisha kupenya katika soko, anasema kilichomkwamisha ni wanaume ambao wengi ndiyo wako kwenye vyombo vya habari na studio za kurekodi.

Amezungumza na Arnold Kayanda

Mada zinazohusiana