Christina Shusho anavyotumiwa mtandao kuwafikia vijana
Huwezi kusikiliza tena

Christina Shusho anavyotumiwa mitandao ya kijamii kuwafikia vijana

Baadhi ya watu maarufu duniani mbali na fani zao pia wamekuwa wakifanya mazungumzo yenye kutia motisha kwa makundi mbalimbali ndani ya jamii.

Nchini Tanzania Mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili Christina Shusho ni miongoni mwa watu hao, ambapo yeye huweka na kujadili mada mbalimbali kwenye mitandao ya kijamiii ambazo kwa kiasi kikubwa huwalenga vijana ili kuwasaidia kutimiza ndoto zao.

Regina Joseph amezungumza na muimbaji huyo, na kuandaa taarifa ifuatayo.

Mada zinazohusiana