Habari za Global Newsbeat 1000 28/08/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 28/08/2017

Serikali ya Kenya imepiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kuanzia leo na yeyote atakayepatikana akiitumia, akiiuza ama kuitengeneza atatozwa faini ya dola elfu arobaini ama kifungo cha miaka minne jela