Ali Saleh akumbuka Dira ya Dunia TV ilivyoanzishwa

Ali Saleh akumbuka Dira ya Dunia TV ilivyoanzishwa

Dira TV ni mtoto wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC.

Kikosi kizima cha Dira TV kilikuwa kilifanya kazi redio kabla ya kujiunga na TV mwaka 2012 na kiongozi wake wakati huo alikuwa Ali Saleh ambaye tayari amestaafu na kuanza maisha kwengine, lakini anaikumbuka safari ilipoanzia.