Kondomu zaokoa wanawake wanaojifungua Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Kondomu zaokoa wanawake wanaojifungua Kenya

Wanawake wengi katika mataifa yanayoendelea hufariki wakati wa kujifungua kutokana na kuvuja damu kwa wingi.

Lakini sasa kifaa cha bei nafuu sana, ambacho kinaundwa kwa kutumia kondomu na sindano kimeanza kutumiwa kuokoa maisha ya wanawake wengi nchini Kenya.

Mada zinazohusiana