Nilibakwa nikiwa na miaka 10, lakini nimejifunza kuwasamehe watu

Nilibakwa nikiwa na miaka 10, lakini nimejifunza kuwasamehe watu

Kundi la wasichana kutoka India ambao walizaliwa na kulelewa katika eneo maarufu kwa machangudoa mjini Mumbai wamekusanyika kushiriki tamasha la Sanaa Edinburgh.

Wameandaa maigizo kwa jina Laal Batti Express ambapo wanaangazia matatizo waliyokumbana nayo wasichana hao 15 ambao wazazi wao ni makahaba.

Lakini wengi wanasema wamewasamehe watu waliowadhalilisha hata kingono.