Habari za Global Newsbeat 1500 29/ 08/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 29/ 08/2017

Mchezaji wa Tenisi Maria Sharapova, amerudi kwa mpigo katika mchuano ya Grand slam kwa kumchapa bingwa nambari mbili kwa mchezo huo Simona Halep. Mrusi huyo alimfunga kwa seti 6-4 4-6 6-3 .Hiyo ilikuwa mechi yake ya kwanza baada ya marufuku aliopewa ya miezi kumi na tano.