Waume waanzishiwa shule Niger kwa sababu ya uzazi wa mpango

Nchi ya Niger ina kiwango cha juu za kuzaliwa kwa watoto duniani. Idadi ya watu huko inatarajiwa kuongezeka maradufu kufikia 2050. Mwanamke wa kawaida hujifungua watoto zaidi ya saba.

Sasa, kumeanzishwa shule za waume kusaidia kufanikisha uzazi wa mpango.