Mafuta ya alizeti yanayotokana na mabaki ya zao Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Mafuta ya alizeti yanayotokana na mabaki ya zao Tanzania

Zao la alizeti ni moja kati ya mazao yanayolimwa mkoani Dodoma nchini Tanzania ambapo hutumika kama zao la chakula na biashara.

Kwa asilimia kubwa zao la alizeti huzalisha mafuta yanayotumika kama chakula katika Afrika Mashariki, na baadhi ya wananchi mkoani Dodoma huzalisha mafuta ya alizeti kwa kutumia mabaki au uchafu uliosalia katika mchakato wa kuchuja mafuta katika mashine ya kukamua mafuta hayo.

Mwandishi wa BBC Maximiliana Mtenga ametuandalia taarifa ifuatayo.

Mada zinazohusiana