Habari za Global Newsbeat 1000 30/08/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 30/08/2017

Nyota nambari moja kwa ubora wa mchezo wa tenisi Rafael Nadal, amesonga mbele katika raundi ya pili kwa kumshinda Dusan Lajovich kwa seti 7-6 6-2 6-2 katika mashindano ya US open.