Habari  za Global Newsbeat 1500 30/08/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 30/08/2017

Kiungo wa kati wa Leicester City Danny Drinkwater ameomba kuondoka klabu hiyo huku Chelsea wakiendelea kumtafuta. Mabingwa hao wa Ligi ya Premia wamewasilisha dau mara mbili bila mafanikio kutaka kumchukua mchezaji huyo wa England.