Hassan Lali: Kwa nini sitausahau uchaguzi wa Burundi
Huwezi kusikiliza tena

Hassan Lali: Kwa nini sitausahau uchaguzi wa Burundi

Tukiendelea kuadhimisha miaka 5 ya Dira ya Dunia TV, Ni nadra sana watu kuzungumzia wapiga picha.

Hassan Lali amepiga picha katika taarifa zetu nyingi ikiwa ni pamoja na mahojiano na marais, uchaguzi wa Marekani nakadhalika.

Anaeleza baadhi ya changamoto zinazowakumba.

Mada zinazohusiana