Nico Mtenga: Sitazisahau kamwe vurugu za Afrika Kusini

Nico Mtenga: Sitazisahau kamwe vurugu za Afrika Kusini

Katika kuadhimisha miaka mitano ya Dira ya Dunia TV, mpiga picha wetu Nicholaus Mtenga maarufu Nico, amesafari nchi nyingi barani Afrika kutayarisha taarifa zinazosisimua.