Habari za Global Newsbeat 1000 1/09/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 1/09/2017

GNBSwahili: ‘Aibu’ ya hedhi yasababisha Msichana, 12, kujiua: Mwalimu wake alimpa kifutio kutumia kama sodo na akamfurusha darasani baada ya kuona damu kwenye nguo yake. Sikiliza!