Ken Mungai: Nakumbuka kimbunga Sandy na uchaguzi wa Obama

Ken Mungai: Nakumbuka kimbunga Sandy na uchaguzi wa Obama

Ken Mungai, alikuwa mpiga picha wetu wa kwanza kabisa tulipozundua Dira TV.

Amepiga picha za taarifa nyingi katika hiyo miaka mitano na anaijua safari yetu vizuri .