Salim Kikeke akumbuka alivyoanza safari Dira ya Dunia TV

Salim Kikeke akumbuka alivyoanza safari Dira ya Dunia TV

Katika sehemu ya maadhimisho ya miaka mitano tangu Dira TV kuzinduliwa, Mariam Omar alizungumza na mtangazaji wetu kinara Salim Kikeke ambaye anatueleza safari yake katika Dira TV.

Na wajua kwamba kuna wanamuziki kikosi cha Dira TV?