Kwa nini wakulima na wafugaji bado wanazozana Morogoro, Tanzania?

Kwa nini wakulima na wafugaji bado wanazozana Morogoro, Tanzania?

Ingawa serikali na taasisi mbalimbali za kijamii zinafanya jitihada katika kuondoa migogoro ya wakulima na wafugaji inayodumaza maendeleo na kuathiri biashara.

Mkoani Morogoro nchini Tanzania, bado wakulima, wafugaji pamoja na wafanyabiashara wa ng'ombe wanalalamikia kukosekana kwa utatuzi wa migogoro hiyo suala ambalo husababisha hasara pamoja kuharibiwa kwa mali.

Mwandishi wa BBC Maximiliana Mtenga amezungumza na wakulima pamoja na wafugaji huko mkoani Morogoro na kutuandalia taarifa ifuatayo